Vijiji 8 havina maji tangu Uhuru wilayani Chunya. Mkuu wa wilaya ya Chunya Deodatusi Kinawiro Zaidi ya vijiji 8 wilayani Chunya mkoani Mbeya, vinakabiliwa na uhaba wa maji safi na salama tangu Tanzania ipate uhuru. Read more about Vijiji 8 havina maji tangu Uhuru wilayani Chunya.