Twiga Stars yatupwa nje All African Games Timu ya Taifa ya soka ya wanawake imetupwa nje ya michuano ya Afrika baada ya kufungwa na Nigeria ‘Super Falcons’ mabao 3-0 katika mchezo wa Kundi A inayoendelea Kongo Brazzaville. Read more about Twiga Stars yatupwa nje All African Games