Malinzi afunga kozi ya makocha leseni C leo Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi amefunga kozi ya makocha ya leseni C inayotolewa na CAF, iliyowashirikisha makocha 31 kutoka mikoa mbalimbali nchini. Read more about Malinzi afunga kozi ya makocha leseni C leo