CUF Waahidi kumaliza rushwa Zanzibar
Mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad amewaahidi Wazanzibari endapo atapata ridhaa kuwa rais ,serikali yake itaunda sheria mpya ya rushwa ili kupambana na wala rushwa kwa nguvu zote.
