Makanisa matatu ya kilokole yachomwa moto Bukoba Makanisa matatu ya dhehebu la Kipentekoste yaliyopo katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, yameteketezwa kwa moto usiku wa kuamkia leo na watu wasiofahamika. Read more about Makanisa matatu ya kilokole yachomwa moto Bukoba