Q Chief kuwaridhisha mashabiki wote

Staa wa muziki Q Chief

Star wa muziki Q Chief, kutokana na mtazamo na vilevile uelewa juu ya kuwepo siasa nyingi katika gemu ya muziki, ameeleza kuwa ni jukumu la msanii kutafuta njia ya kuvuka, binafsi akiwa anatengeneza rekodi za aina mbili tofauti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS