Jumatano , 25th Nov , 2015

Star wa muziki Q Chief, kutokana na mtazamo na vilevile uelewa juu ya kuwepo siasa nyingi katika gemu ya muziki, ameeleza kuwa ni jukumu la msanii kutafuta njia ya kuvuka, binafsi akiwa anatengeneza rekodi za aina mbili tofauti.

Staa wa muziki Q Chief

Q Chief ameeleza kuwa, kwa upande wake ana rekodi za jamii na rekodi ambazo zinalenga maeneo tofauti nje ya nchi katika kukidhi kiu za mashabiki kwa upande wote.