Rapa Nicki Minaj mbishi kweli Rapa wa kike wa nchini Marekani Nicki Minaj Rapa wa kike Nicki Minaj amedhihirisha kuwa yeye ni mbishi, baada ya kutumbuiza kwenye tamasha jana nchini Angola, licha ya wanaharakati wa haki za binadamu kukosoa tamasha hilo na kutaka lifutwe. Read more about Rapa Nicki Minaj mbishi kweli