Belle 9 ajiongeza kusaidia vijana
Nyota wa muziki Belle 9 mbali na shughuli zake za muziki, ameamua kujikita katika huhamasisha vijana kuzifuata ndoto zao kwa kufanya kazi, jukumu analolifanya chini ya shavu jipya la ubalozi alilolipata hivi karibuni.