Tumeanza maandalizi timu ya vijana CHANETA -Kibira
Chama cha Mpira wa Pete nchini CHANETA kimesema, hivi sasa kipo katika mkakati wa kuandaa timu ya vijana inayotarajia kushiriki kombe la Afrika kwa ajili ya kuwania kufuzu ushiriki wa kombe la Dunia litakalofanyika nchini Botswana hapo mwakani.