Elba: Nilinusurika kufa Ghana

Idris Elba

Mwigizaji Idris Elba ameweka wazi namna alivyonusurika kufa huko nchini Ghana, wakati alipokuwa katika mchakato wa upigaji picha za filamu yake maarufu ya sasa, Beasts Of No Nation katika harakati za kuweka uhalisia kwenye scene waliyokuwa wanaifanya

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS