TFDA Morogoro yakamata bidhaa kwa kukiuka sheria
Mamlaka ya chakula na dawa TFDA kanda ya kati imekamata shehena ya bidhaa zilizokuwa zimehifadhiwa kinyume na taratibu ikiwemo chooni na zilizokwisha muda wa matumizi katika kata ya kihonda manispaa ya Morogoro hali inayohatarisha afya za watumiaji.
