Wawili wauawa kwa imani za kishirikina Mbeya

Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi mwandamizi wa polisi Ahmed Msangi

Watu wawili wamefariki dunia Mkoani Mbeya huku mmoja akichinjwa na kutenganishwa kwa kiwiliwili na kichwa kisha kuchomwa moto na watu wasiofahamika kwa madai ya kuhusishwa na imani za kishirikina kwa kutuhumiwa kupeleka kipindupindu katika eneo lao

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS