Serikali yaanza mpango wa kufuta hati chafu

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kibaha Bi. Tatu Selemani

Matokeo ya hati chafu katika baadhi ya halmashauri nchini yanadaiwa kutokana na kutokuwepo kwa ushirikishwaji hususani wa watendaji ambao wengi wao hawatambui wajibu wao katika sheria ya manunuzi ya umma wakati wa utekelezaji wa majukumu yao .

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS