Watendaji wakuu serikali watakiwa kutimiza wajibu

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akisisitiza jambo katika mkutano na waandishi wa habari

Watendaji wakuu serikalini wametakiwa kutekeleza wajibu wao kulingana na dira ya taifa inavyoelekeza ili lengo la nchi kuwa na uchumi wa kati wa viwanda liweze kutimia ikiwa pamoja na kuhakikisha kuwa uslama wa nchi unaendelea kulindwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS