Mhifadhi Ngorongoro akamatwa kwa ujangili

Mhifadhi wa hifadhi ya taifa ya Ngorongoro, Iddi Mashaka, ambaye pia ni afisa intelijensia wa hifadhi hiyo, amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutuhumiwa kuhusika na tukio la utunguaji wa helkopta.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS