Kazimoto afunguliwa kesi Polisi, ampiga Mwandishi Kiungo mkongwe wa Simba, Mwinyi Kazimoto anatuhumiwa kumpiga mwandishi wa habari, hali iliyosababisha afikishwe katika kituo kikuu cha Polisi cha Shinyanga. Read more about Kazimoto afunguliwa kesi Polisi, ampiga Mwandishi