Hati ya ardhi unapewa ndani ya mwezi mmoja -Lukuvi
Waziri ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi William Lukuvi amesema Serikali ya awamu ya tano imeondoa urasimu katika upatikanaji wa umiliki wa ardhi ili kuwapa wananchi fursa yakuyaendeleza maeneo yao kwa wakati muafaka.

