Ben Pol kukiwasha siku ya wapendanao.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye anafanya vizuri kwenye miondoko ya R&B Ben Pol na mwanamama nguli wa muziki nchini, Bi Patricia Hilary, wanatarajiwa kufanya onesho kubwa la muziki lililopewa jina la Valentine Affairs.

