Tanzania kuajiri madaktari 10,780 Ofisi ya waziri mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa nchini Tanzania TAMISEMI imesema itaajiri madaktari wapatao 10,780 ili kukabiliana na uchache wa madaktari nchini. Read more about Tanzania kuajiri madaktari 10,780