Asilimia 80 ya wafugaji hawana hati ya ardhi

Waziri wa Mifugo, Kilimo na Uvuvi Mhe. Mwigulu Nchemba amesema tayari serikali imeshaelekeza kamati za vijiji hadi mikoa yote nchini kupima maeneo na wayabainishe kwa ajili ya upimaji na umilikishwaji

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS