Deo Julius wa Mbeya City nje ya uwanja wiki mbili Mlinzi wa klabu ya Mbeya City,Deogratius Julius atakuwa nje kwa wiki mbili kufuatia kuumia goti katika mchezo uliopita wa Ligi Kuu ya sokaTanzania Bara dhidi ya mahasimu wa jiji la Mbeya, Prisons. Read more about Deo Julius wa Mbeya City nje ya uwanja wiki mbili