Watanzania wanne wauawa nchini Msumbiji Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Henry Mwaibambe Wafanyabiashara Wanne raia wa Tanzania wameuawa nchini Msumbiji watatu kati yao wakipigwa risasi baada ya kuvamiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliokuwa na silaha za moto na mapanga. Read more about Watanzania wanne wauawa nchini Msumbiji