Yanga yabeba wachezaji wote,yaelekea Mauritius leo
Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara Yanga SC wameondoka hii leo wakiwa na kikosi kizima kwenda mjini Curepipe, Mauritius kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Cercle de Joachim.

