FDL fainali wikiendi hii, zote kuchezwa muda mmoja
Ligi Daraja la Kwanza inatarajiwa kumalizika wikiendi hii kwa michezo 12 kuchezwa kwa wakati mmoja katika viwanja mbalimbali nchini, huku Kundi A na C zikisaka vinara watakaopanda Ligi Kuu msimu ujao.

