Naibu Kamishna na Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania, Abbas Mussa Irovya.
Idara ya Uhamiaji imezitaja nchi za China, Ethopia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ndizo zinazoongoza kuwa na idadi kubwa ya wahamiaji haramu hapa nchini.