Walimu wastaafu waomba kulipwa mafao yao
Walimu waliostaafu wameiomba serikali iwalipe mafao yao ya kustaafu kwa wakati pindi wanapostaafu ili waweze kukabiliana na hali ngumu ya maisha wanayokutana nayo baada ya kumaliza muda wao wa kutumikia ajira.
