Vurugu zaibuka bunge la Afrika Kusini
Mwanasiasa machachari nchini Afrika Kusini Julias Malema ametolewa nje ya bunge baada ya kushiriki kukataa hotuba ya Jacob Zuma kwamba hatakiwi kuhutubia taifa hilo kwa kuwa ana kashfa za matumizi mabaya ya madaraka.

