Welbeck arudi na goli Arsenal ikiiua Leicester Danny Welbeck ambaye alikuwa anacheza mechi yake ya kwanza tangu April mwaka uliopita ameifungia Arsenal bao la pili na la ushindi dhidi ya vinara wa ligi kuu ya Uingereza Leicester. Read more about Welbeck arudi na goli Arsenal ikiiua Leicester