Waganda kuamua juu ya Rais wa taifa lao leo Wananchi wa Uganda leo wanatimiza haki yao ya kikatiba ya kuchagua Rais na wabunge katika uchaguzi ambao wapiga kura milioni 15 wanatarajiwa kupiga kura katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo. Read more about Waganda kuamua juu ya Rais wa taifa lao leo