Nike yavunja mkataba na Pacquiao Kampuni ya vifaa vya michezo, Nike imeondoa udhamini wake kwa bondia na mwanasiasa wa Ufililipino Manny Pacquiao juu ya matamshi yake ya kuwabagua wenye mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja. Read more about Nike yavunja mkataba na Pacquiao