Ngome kutumia mashindano ya wazi kukuza vipaji

Klabu ya Ngome ya mchezo wa Mieleka inayojiandaa kushiriki mashindano ya wazi ya kitaifa na ya kimataifa imesema licha ya kuwa na wachezaji wachache ina uhakika wa kuchukua ubingwa katika mashindano hayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS