Mabingwa Real Madrid wapokewa Kifalme Hispania

Umati wa mashabiki wa timu ya soka ya Real Madrid wakiwalaki mashujaa wao.

Maelfu ya mashabiki na wapenzi wa soka nchini Hispania wamewapokea mabingwa wa kihistoria wa klabu bingwa barani Ulaya Real Madrid ambao wamewasili hii leo wakitokea nchini Italia ambako walikwenda kucheza fainali ya kombe hilo dhidi ya Atletico.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS