Mifuko ya plastiki marufuku TZ 2017,sheria yaja
Serikali ya Tanzania imefanya uamuzi wa kupiga marufuku moja kwa moja utengenezaji, usambazaji, uingizaji nchini na matumizi ya mifuko ya hiyo kuanzia mwakani 2017 ili kuondokana na athari za kimazingira zinazosababishwa na mifuko hiyo.