Msenegal Mo Diame airejesha Hull City EPL
Hatimaye klabu ya soka ya Hull City imefanikiwa kutwaa ubingwa wa mchuano wa mchujo [mtoano] maarufu kama Play off baada ya kuwachapa wapinzani wao timu ya Sheffield Wednesday katika fainali iliyopigwa jana usiku.