Dar es salaam kuwa na Fly-over tisa!
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, amesema serikali iko mbioni kujenga barabara za juu (fly-over) saba mojawapo ikitarajiwa kujengwa Mwenge, ili kupunguza msongamano wa magari jijini Dar es Salaam.