Kosa lililowasimamisha wabunge 7 wa upinzani.

Bunge jana limeazimia kuwasimamisha vikao wabunge 7 wa kambi ya upinzani kwa kosa la kukiuka sheria na kanuni za bunge na kushinikiza kujadiliwa kwa hoja ambayo imekwisha tolewa maamuzi kinyume na utaratibu wa kanuni za Bunge.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS