Matumizi ya Tumbaku bado ni janga nchini Tanzania

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Kudhibiti Tumbaku nchini ,Dk. Lutgard Kokulinda Kagaruki.

Leo ikiwa ni siku ya kupiga marufuku matumizi ya Tumbaku Duniani, Mkurugenzi wa Chama cha Kudhibiti Matumizi ya Tumbaku nchini Tanzania, Dk. Lutgard Kagaruki amesema kuwa matumizi ya Tumbaku nchini bado ni janga la kitaifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS