Vita ya nusu fainali Euro 2016 kupigwa Julai 6-7

Ratiba ya nusu fainali Euro 2016.

Ule mzizi wa fitna juu ya nani atacheza fainali ya michuano ya Euro 2016 inayoendelea nchini Ufaransa itakatwa Julai 6 na 7 mwaka huu baada ya kupigwa kwa michezo miwili ya hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo michezo itakayanza saa 4 usiku.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS