Hakuna mchezaji wa kigeni aliyeachwa-Zacharia Hans Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe, amesema kwamba hakuna mchezaji wa kigeni aliyeachwa hadi sasa na kwamba vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti tofauti. Read more about Hakuna mchezaji wa kigeni aliyeachwa-Zacharia Hans