Kama tulikosea nyuma lazima turekebishe-Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli, amesema kuwa kama serikali iliyopita ilifanya makosa katika maamuzi yake lazima yarekebishwe hivyo kuondolewa kwa wanafunzi wasio na vigezo vyuoni ni jambo lisilopingika.