Serikali kulinda michango katika hifadhi ya jamii

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Uledi Mussa

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Waziri Mkuu, Bunge na Siasa, Uledi Mussa amesema atahakikisha michango ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya watumishi wa Ofisi hiyo inafikishwa kwa wakati.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS