Kufuta michezo shuleni, kunaondoa uzalendo-Kipingu Mara baada ya Serikali kusimamisha michezo mashuleni, mmoja wa wadau wa michezo nchini Kanali Idd Kipingu amesema, uamuzi huo unapunguza uzalendo kwa wanafunzi. Read more about Kufuta michezo shuleni, kunaondoa uzalendo-Kipingu