Ratiba Premier League 2016/2017 yawekwa hadharani
Mabingwa wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza Leicester City wataanza kampeni ya kutetea taji lao kwa msimu wa 2016/2017, watakaposafiri hadi Hull City, wakati Jose Mourinho ataanza kibarua na Manchester United watakapo alikwa na Bournemouth.