Kozi ya Makocha ya ITTF yaanza leo Mafunzo ya ukocha wa mpira wa meza daraja la pili yanayotambuliwa Shirikisho la Mpira wa Meza Duniani ITTF yameanza rasmi hii leo kwa kushirikisha mikoa ya Tanzania na Zanzibar pekee. Read more about Kozi ya Makocha ya ITTF yaanza leo