Serikali yaahidi kutatua kero ya maji Kasulu Mjini

Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini Daniel Nswanzingwanko ameeleza Bungeni Dodoma adha ya maji wanayokumbana nayo wakazi wa Kasulu na kuitaka serikali itoe tamko juu ya ahadi zake za maji kwa wakazi wa mji wa Kasulu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS