Chuchu Hansa: Daku ina masharti yake MOVE YA USIKU WA DAKU Msanii Chuchu Hans ametoa filamu inayoelezea mashariti ya kufuata katika mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani, kuanzia muda wa wa kufuturu, kuandaa daku na jinsi ya kujistiri ndani ya mwenzi huo. Read more about Chuchu Hansa: Daku ina masharti yake