Wakodi ghala la Mazao kufanya Zahanati

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala

Wakazi wa kijiji cha Izumbwe, kata ya Igale Wilayani Mbeya wamelazimika kukodi jengo ili litumike kama Zahanati baada ya Zahanati ya awali kuteketea kwa moto zaidi ya Miezi mitatu iliyopita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS