Ttutawakamata wote waliofanya mauaji Tanga-Masauni
Serikali imesema kuwa itahakikisha kuwa inawakamata wote waliohusika na mauaji ya kinyama ya watu wanane Mkoani Tanga kwa kuwa ina mkono mrefu huku ikiwaomba wafiwa kuwa na subira katika kipindi ambacho serikali inafanya uchunguzi.