Utengenezaji madawati Dodoma unaendelea kwa kasi

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana amewataka wakuu wa wilaya mkoani Dodoma kuhakikisha kwamba zoezi la kutengeneza madawati linakamilika kama agizo la Rais John Magufuli kwamba Juni 30 wanafunzi wote wawe wamepata madawati nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS